Ijuma 02/05/08 Stockholm media:Lilla Wien restaurang (Södra Station)
Pablo Machine na Vumbi Kahanga Ndekula.
Wa kimukaribisha kijana mtunzi muimbaji toka Bongo King Blais wa kundi la Fm Academia hapo kwenye Jam session ikiwa ijuma ya tarehe 02/05/08 hapa mjini Stockholm. King alikuja katika shughuli zake za kifamilia na biashara ya muziki na katoa Onyesho kabambe alipo vamia Mic akiwa na bwana Pablo Machine,na bwana Vumbi akiikunguta lile guitar lake la Solo hapo tukiwa na wa dada wetu wa ki Afrika wakipendeza,siku hiyo palikuwepo ana show tafauti ikiwemo mwana muziki toka Congo Karmapa alikua akipiki hapo jerani Södra teatre.
J/mosi 03/05/08 Stockholm media: Lilla Wien restaurang (Södra Station)
Ilikua mambo poa kabisa wakiwemo wanamuziki wa kongwe na wakali katika miondoko ya rhumba,soukous,na kama munavya jua wakina Samy Kasule alikuwepo akiimba nyimbo ambazo ametunga yeye ikiwemo version yake ya "Shauri yako" ya english version na zinginezo.
Palikua Yaya Sela akiimba,Getty Doein,Pablo Machine na Samy Kasule na msichana wanaimba naye yeye ni mwenyeji wa hapa alkini anaimba lugha nyingi.
Drums zilishambuliwa na Papa top(Kumbi) Keyboard Papa Blanchar na bass Joseph wakibadilishana na Samy K,na Robert .
Watu walioshambulia siku hiyo yaJ/mosi paliwaka moto wa mashabiki kupendewa na kupanda nafasi kama sisi wa Afrika tunaoishi hapa mjini lazima tuwe na mahali ya burudani hata mara moja kwa mwezi ina pendeza kabisa.
JKama ulikua huja tembelea Södra Station ipo karibu kutambua sehemu yenyewe ukiulizia watu uta papata kiuraisi.
Tarehe nyingine ni kama Fri 16 and Sat 17 Mai 2008 at Södra Station
Muna karibishwa wote mavazi ni muhimu ku vaa kiustarabu,kiingilio ni bure kuanzia saa tatu usiku time 21-01 hadi saa saba usiku.
Podcast Summary
Welcome all to Stockholm media & Afrojam Stockholm for more about African living in Sweden or europe and more..
It`s free blog we will like to share idea with you.Black African Community Special here in Sweden or Skandinavia,we are here on blog ideal to we need you Coment we will answer you soon as posible, get mail from oss we will try to attand our costomes and update time after time our blog any news ,Sports,Culture Music,and more we will make this world better place for you and next generation.
we take some really history is from a person authorization.
and all right reserved.
to the owner.
news ,www.pabloamchine.podomatic.com
Karibuni wana Stockholm.
Pata habari motomoto za kila week ama tokeo jipya nini kinachoendelea mjini Stockholm na hapa Sweden.
wasiliananasi :
sabiti@pablomachine.com
Simu:+46(0)846003637
Welcome to Pablo Machine the man to lead this world in all capacity.
Pablo Machine or Sabiti living in Stockholm.
Work dep1:
artist, music production , video Editing and producer ,photos.blog´s:
Work dep 2:
Pedogogie, French teacher,Elve assistent,person Assistant.
Work dep 3: Business:
We have this blog for every one to say some thing in life of music,culture and political share ideals.
Your news make us to lead the ideal of people.
As together we are one.
You can send us ur picture and more details.must be your own information not sme bodyels information.
Call:+46(0)846003637
contact us:+46(0)739188897
mail us : sabitipablo@ yahoo.com
Afric_1@hotmail.com
www.myspace.com/pablomachine1
www.youtube.com/pablomachine07
www.afrojam.podomatic.com
www.pablomachine.podomatic.com
www.pablomachine.com/bebo
Swahili: Karibu´ni wote
naishi mjini Stockholm napende kuwapa habari Motomoto ambazo watu wanapenda kujua siku hadi siku.
Mimi ni msani napiga muziki wa Dansi .blog zetu hizo ni kwaajili ya watu kuwasiliana na wengine kutoa maoni yao.
Wote mwakaribisha kushirikiana nasi.
.
Kwa mtu yeyote unajisikia kutoa taarifa zozote zisizokua za wongo wala za mtu mwengine basi ruksa tutumie picha na habari kamili tuta zipeperusha angani hapa kwenye wwww.pablomachine.podnatic.com
www.pablomachine.podomatic.com
www.afrojam.podomatic.com
Mawasiliano Asanti,Communication