Player_logo Podcasts Community Create a Podcast
Pablo Machine and Friends at Afro music Jam session Fri 20 juni and Sat 21 Jully /Fri 04 and Sat 05.
Explicit
June 09, 2008 05:27 AM PDT
itunes pic
Karibuni ndugu jama na marafiki katika burudani Ukiwa na nafasi tembele hii blog yetu. Pablo Machine and Friends at Afro music Jam session Fri 20 juni and Sat 21 Jully /Fri 04 and Sat 05. Kwa wapinzi wetu mjini Stockholm kama munavyo jua leo ni leo ndio kauli yetu sisi. Wiiki iliyo pita ilöikua safi kabisa na watu walifurahi ilae mbaya. Tulitembelewa na wageni tafauti ikiwemo ndugu zetu wa kenya,Uganda,Botswana,Zimbabwe,Dr Congo, Congo Brazaville na wenyeji wetu wa Sweden. yote ni kumaanisha Afro music jam session 2008. inakua kama Viazi ama miogo. Tutegemee kuiyendeleza siku zote hapo juu ni tare zingine tume pewa tubvurudishe hapo. wasuliana nasi kwa jambo lolote la burudani mjini stockholm. www.pablomachine.podomatic.com. Karibuni wote