Player_logo Podcasts Community Create a Podcast
Kahanga Dekula Kutimua vumbi Dar October Muwe tayari !
Explicit
September 23, 2008 05:35 AM PDT
itunes pic
Mwanamziki ngwiji mpiga Gitaa la Solo wa ex-Maquis Original ya mjini Dar Kahanga Dekula"Maestro Vumbi"Anatarajia kuwasili Dar tarehe 02.Oktoba 2008 kwa mwaliko wa Kampuni Clouds Ent. ya mr.Joseph Kusaga kwa Show" Classic". Maestro Vumbi ataungana na mangwiji wenzake akina Kanku Kelly,Tshimanga Assosa,Mafumu Bilali,Keppy Kiombile...nk na kutoa Burudani hiyo tarehe 10-11. Oktoba 2008 katika Ukumbi wa Police Officers Messe Osterbay. Maestro anatarajia kufurahisha wapenzi wake na mitindo mipya na ya zamani; Kamanyola, Ogelea piga mbizi,Zembwela,Sendemaa,Washawasha,Sultan Qaboos na uzinduzi wa CD yake mpya"RUMALIZA". kaa chonjo... mcheza kwao utunzwa. tembelea. www.youtube.com/dekula2